News & Updates

1:16 AM Deejay Johnny (kongola entertainments) 0 Comments




Video 10 kali kwa East Africa zilizotajwa na kituo cha TV cha Sound City cha Nigeria, watanzania 6 kwenye list

 

 Jumamosi ya May 21 2016 stori ambayo imegonga headlines za muziki wa Bongo fleva ni kutoka Nigeria katika kituo cha TV cha Sound City, kituo ambacho ni moja kati ya vituo vinavyocheza video zenye viwango vya kimataifa, Sound City weekend hii imecheza TOP 10 ya video kali East Africa, kwa upande wa Tanzania wasanii sita walifanikiwa video zao kuwa katika list hiyo

 http://twitter.com/SOUNDCITYtv/status/733944717675749376/photo/1


0 comments: